Kuna Maumivu Mengine Hayaelezeki

Kuna Maumivu Mengine Hayaelezeki

Watanzania yabidi mkue kiakili.

Unapomwambia mtu I LOVE YOU sio kwamba umeuliza swali linahitaji majibu.

Mwishowe utadanganywa kwa kuambiawa nakupenda pia. Baadae ukigundua ulidanganywa unaanza kulia lia..
 
Mamaaaae hamna kitu nisichopenda kwanza majibu hayo hata ukiwa mwanamke wangu nakuchana laivu.

Yaan majibu ya K P OK n.k ,nmejikunja kuandika ujumbe mzur na kwa hisia ..mamaaaaee , kuna mawili nikuambie kiustarabu ( hapa lazima niwe bado naitaj mawasiliano)

Au nikuambia kwa ukali ,ureact unavyotaka, nikutukane alafu tukatishe mawasiliano

Au ukijib K kubwa, naandika k ndogo P ---p , hii nikiifanya naifanya kwaajili ya Mkakati wa muda ujao.ambao naww utaomba poo.

Mchane laivu uyo demu kua hupendi izo mambo, ukiona haeleweki PIGA CHIN
 
Hahaaaa wewe unaakiri kama zangu ezi nikiwa natongoza. Ilikuwa lazima nifute namba hapo hapo kama mtu analeta habari ambazo sizipendi. Shida inakuja yule ambae mmedumu namba yake labda umeikalili
Unakalili namba za mademu za nini ??
 
Mamaaaae hamna kitu nisichopenda kwanza majibu hayo hata ukiwa mwanamke wangu nakuchana laivu.

Yaan majibu ya K P OK n.k ,nmejikunja kuandika ujumbe mzur na kwa hisia ..mamaaaaee , kuna mawili nikuambie kiustarabu ( hapa lazima niwe bado naitaj mawasiliano)

Au nikuambia kwa ukali ,ureact unavyotaka, nikutukane alafu tukatishe mawasiliano

Au ukijib K kubwa, naandika k ndogo P ---p , hii nikiifanya naifanya kwaajili ya Mkakati wa muda ujao.ambao naww utaomba poo.

Mchane laivu uyo demu kua hupendi izo mambo, ukiona haeleweki PIGA CHIN
Hawa ndio dada zetu na ndio wachumba zetu pia
 
Back
Top Bottom