Imo nini tena unanifanya nikasome thread kwanza
haha pole mkuuUnamtumia massage mtu unayempenda '' I love You '' halafu anajibu "Ok''.
Sema "Wanaume tunapitia mengi."Binadamu tunapitia mengi
ukiona hivyo tu "" dalete namba faster""...hpo itkuwa huna chakoUnamtumia massage mtu unayempenda '' I love You '' halafu anajibu "Ok''.
Hii style hii....Hahaha atatongozwa mtu hapa sasa hivi, inaanzaga hivi hivi mwisho mtu kaingia kingi