Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Pesa wala haihusiki mkuu,.tusiisingizie sanaTatizo ni hili neno PESA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa wala haihusiki mkuu,.tusiisingizie sanaTatizo ni hili neno PESA
Tafuta pesa umpe..kumbe ilo jibu unalipenda eehTatizo ni hili neno PESA
Mnyonge nitamuoe sana huyu ananifaa. Tatizo ni neno PESA
Pesa wala haihusiki mkuu,.tusiisingizie sana
Ptuuu...tunajijua ndio maana nikasema hivyoMkuu tena mate chini, hivi hawa ndugu zako unawajua vizuri.
Woooouuzeerrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Haupendwi bana weeh pesa ndio nn mtu akiamua kukupenda anakupenda tu hajali hakuna pesa au vipi
Umeona eenh hataki kukubali ukweli kuwa hapendwi woii
Kariri hivyo hivyoMiamala inahusika sana kuwamotivisha
Woooouuzeerrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Eh! Miaka yote umeganda tu hapo??kumbe Umependa yakupate yakupatayoNimenunua sana majibu mkuu toka STD 7 hadi Chuo
Anachat kwa kirefu na yule aliyetuma vocha. Anayelipa bills.
mara paaaaap mnyonge ndo wewe sasaPole mkuu hupendwi tafuta na wewe mnyonge wako
Hahhahah ila huyu jamaa hapendwi pia
Yaaani ni ving'ang'aa,.. wengine tukionaga mawingu hatusubiriagi inyeshe unajiongeza kikubwa,..sasa jamaa kadanda tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woozeer woouzer [emoji91][emoji91][emoji91] hupendwi si uachane nae kwani umezaliwa nae kuna watu hawataki kukubaliana na ukweli kabisa