Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Esp yenu..Woteeeee.
Sasa sijui mwenye afazali nani manake duh.
Bora hizo sehemu zilivyofichwa.
Ni mbaya jamani.
Utakuwa na mwili kumbe?Inasemekana kesho siku ya hukumu tutafufuliwa na sample za nyuchi tulizopitia zimetuganda mwilini.
Jamani tunakumbushana tyuuuuu.
Yan asee kama demu ujamla yan unakuwa unamnyenyekea kwelBinafsi demu akila vyangu kabla ya kuliwa papuchi nakuwa mnyonge saana... Kila akikosea nakuwa mpole nawaza akisepa huyu na kala vyangu ntawaza waza saana...... Inauma saaana.
Kuna msee juzi tumeenda out imekatika elfu 60 afu tumerud akagoma kuingia guest akajibu usee... Nikamtukana nikampotezea ila kila nikikaa namuwaza nikaona isiwe tabu nipo hapa nasuluhu kimtindo nifidie fidie magepu
Wanaume hawafikiliagi hivo boya weweWakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo.
Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda na ulikuwa unahudumia kila kitu. Ila kwenye swala la kula tunda bado ulikuwa unazungushwa mpaka unaachwa hujui chochote kuhusu tunda la mpenzi wako asee hayo maumivu yanauma sana.
Je hii kitu ilisha kukuta kama ndiyo ulijisikiaje.
Uzi tayari!
Inatokea sana tuUnatoaje huduma bila kupewa tunda?
Tuanze hapo kwanza
#YNWA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wenzio washaacha kuhudumia bila kupata return wanamega kamasihara...heb utafte ule uzi kula kimasihara upate experience uache kulia lia...
Mkuu hujaongelea upande wa pili, maumvu ya kuachwa alf ameliwa mzgo, madem waseme nao huwa wanajskiaje hali hyoWakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.