Kuna maumivu ya kuachwa, lakini pia kuna maumivu ya kuachwa bila kula tunda

Nadhani unakosea jinsi ya kuomba mbunye mtoe out mkapate dina na vinywaji & muziki mpaka night kali badae muombe mkapunzike kwako maana usiku mkubwa,nakwambia mdogo wangu utakuja kunishukulu....
Asee nitaufanyia kaz ushauri wako
 
Binafsi demu akila vyangu kabla ya kuliwa papuchi nakuwa mnyonge saana... Kila akikosea nakuwa mpole nawaza akisepa huyu na kala vyangu ntawaza waza saana...... Inauma saaana.

Kuna msee juzi tumeenda out imekatika elfu 60 afu tumerud akagoma kuingia guest akajibu usee... Nikamtukana nikampotezea ila kila nikikaa namuwaza nikaona isiwe tabu nipo hapa nasuluhu kimtindo nifidie fidie magepu
 
Inasemekana kesho siku ya hukumu tutafufuliwa na sample za nyuchi tulizopitia zimetuganda mwilini.

Jamani tunakumbushana tyuuuuu.
Utakuwa na mwili kumbe?
 
Utakuwa na mwili kumbe?
Of course. Just like we were as if we did not die and get buried.

And every part of the body will bear witness against you.

Huyu Mu7 alitusababisha tukaangalia totoz.... Miguu nayo itasema alitupeleka gesti...
 
Yan asee kama demu ujamla yan unakuwa unamnyenyekea kwel
 
Wanaume hawafikiliagi hivo boya wewe
 
Nimeachwa tena bila kutunda sijui na kwama wapi wakuu nipeni mbinu
 
Rules ni kwamba,, Demu atatumia hela zako wakati mpo nae,,, kama hautakuwa nae basi na hela zako asahau..

Kuhusu papuchi kula ni uzembe wako tu..
 
Mkuu hujaongelea upande wa pili, maumvu ya kuachwa alf ameliwa mzgo, madem waseme nao huwa wanajskiaje hali hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…