Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Unajua nchi hii inaongozwa kwa misingi mahususi ya makubaliano ya watu wote. Ila kama kutakuwa na uongozi wa 4G na mawaziri wa mwendokasi je wananchi watakuwa wa mwendo gan???????
 
Nahisi wengine kwanza wanasubiria kwa hamu kutoka , maana mazingira ya kufanya kazi yamejaa hofu kwa kweli......
 
Kwa mujibu wa katiba rais anaweza kubadili baraza la mawari au ofisi/ ofisa muda wowote. Ni haki yake kikatiba.
 
Huyo dogo Jaffo kweli inabidi awe waziri kamili. Ni jembe sana. Anapiga kazi balaa
 
Nampa pole sana Mkuu wa Kaya.Ana kazi ngumu mno.Kurekebisha kaya iliyooza kimfumo ni kazi ngumu kweli kweli kwa sababu wanaopaswa kumsaidia ni 'mazao' ya mfumo huo huo uliooza.Ameikuta kaya kipindi kibaya,ila kwa dhamira yake thabiti aliyonayo Mungu atamuongoza.
 
Na yeye akiwa ameoza
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
shida yote ya nini? kama mambo hayaendi kwanini asijiudhulu kumpisha aliyeshinda uchaguzi kwa 62%
 
Inabidi ateue wawili wawili kuepunga teuzi tenguzi..
 
Back
Top Bottom