A
Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na shule ya Nyanza English Medium kwa mwaka wa masomo 2026, hususan kwa madarasa ya awali na darasa la kwanza.
Awali, uongozi wa shule ulitangaza rasmi uwepo wa nafasi za udahili kwa mwaka 2026. Wazazi na walezi waliitikia tangazo hilo kwa kuchukua fomu za maombi na watoto wao kufanyiwa usaili (interview) kama ilivyoelekezwa. Baada ya usaili, wazazi walipewa matumaini kuwa nafasi zingetolewa kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa.
Hata hivyo, baada ya mchakato huo kukamilika, ilitangazwa kuwa nafasi zilizopatikana ni chache, na watoto wengi waliokuwa wamefanya usaili walikosa nafasi. Baadhi ya waliopata nafasi walipewa utaratibu rasmi wa kulipia ada kwa kutumia Control Number, pamoja na malipo ya sare za shule, kama inavyotakiwa kisheria na kwa uwazi.
Cha kusikitisha na cha kushangaza ni kwamba, baada ya hatua hiyo, nafasi zilianza kutolewa upya kwa baadhi ya watoto waliokuwa wamekosa awali, kwa masharti mapya yasiyo rasmi. Masharti hayo yalihusisha wazazi kupeleka fedha taslimu (mkono kwa mkono) za ada na sare za wanafunzi, bila kutumia mfumo wa Control Number. Zaidi ya hapo, imebainika kuwa hata watoto ambao hawakuwahi kufanya usaili kabisa walipewa nafasi kwa sharti hilo hilo la kutoa pesa taslimu.
Hali hii inaashiria wazi uwepo wa urasimu, upendeleo, na uwezekano wa matumizi mabaya ya madaraka katika zoezi zima la udahili. Utaratibu huu umewaumiza wazazi waliokuwa wamefuata taratibu halali, umeondoa haki ya usawa kwa watoto, na umeharibu imani ya jamii kwa uongozi wa shule.
Kupitia taarifa hii, naomba mamlaka husika zichukue hatua za haraka kuchunguza zoezi hili la udahili, kubaini waliohusika, na kuchukua hatua stahiki ili kurejesha haki, uwazi, na uadilifu katika taasisi za elimu
Ipo Mkoa Gani, na Wilaya ganiNapenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na shule ya Nyanza English Medium kwa mwaka wa masomo 2026, hususan kwa madarasa ya awali na darasa la kwanza.
Awali, uongozi wa shule ulitangaza rasmi uwepo wa nafasi za udahili kwa mwaka 2026. Wazazi na walezi waliitikia tangazo hilo kwa kuchukua fomu za maombi na watoto wao kufanyiwa usaili (interview) kama ilivyoelekezwa. Baada ya usaili, wazazi walipewa matumaini kuwa nafasi zingetolewa kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa.
Hata hivyo, baada ya mchakato huo kukamilika, ilitangazwa kuwa nafasi zilizopatikana ni chache, na watoto wengi waliokuwa wamefanya usaili walikosa nafasi. Baadhi ya waliopata nafasi walipewa utaratibu rasmi wa kulipia ada kwa kutumia Control Number, pamoja na malipo ya sare za shule, kama inavyotakiwa kisheria na kwa uwazi.
Cha kusikitisha na cha kushangaza ni kwamba, baada ya hatua hiyo, nafasi zilianza kutolewa upya kwa baadhi ya watoto waliokuwa wamekosa awali, kwa masharti mapya yasiyo rasmi. Masharti hayo yalihusisha wazazi kupeleka fedha taslimu (mkono kwa mkono) za ada na sare za wanafunzi, bila kutumia mfumo wa Control Number. Zaidi ya hapo, imebainika kuwa hata watoto ambao hawakuwahi kufanya usaili kabisa walipewa nafasi kwa sharti hilo hilo la kutoa pesa taslimu.
Hali hii inaashiria wazi uwepo wa urasimu, upendeleo, na uwezekano wa matumizi mabaya ya madaraka katika zoezi zima la udahili. Utaratibu huu umewaumiza wazazi waliokuwa wamefuata taratibu halali, umeondoa haki ya usawa kwa watoto, na umeharibu imani ya jamii kwa uongozi wa shule.
Kupitia taarifa hii, naomba mamlaka husika zichukue hatua za haraka kuchunguza zoezi hili la udahili, kubaini waliohusika, na kuchukua hatua stahiki ili kurejesha haki, uwazi, na uadilifu katika taasisi za elimu.
Ya ummaNi shule ya umma au binafsi? Tuanzie hapo
Ilikuwa ya kawaida hii wakaigeuza kuwa english medium ila ni ya ummaNi shule ya umma au binafsi? Tuanzie hapo
Mwanza, ilemelaIpo Mkoa Gani, na Wilaya gani
Kama n ya umma una haki ya kulalamika mkuu uailifumbie macho swala hili nenda kwenye mamlaka kama TAKUKURUIlikuwa ya kawaida hii wakaigeuza kuwa english medium ila ni ya umma
Mlalamikaji ataenda mimi sina malalamiko sijui ata kinaendelea nini mpaka nilivyosoma hapaKama n ya umma una haki ya kulalamika mkuu uailifumbie macho swala hili nenda kwenye mamlaka kama TAKUKURU
Hii ni ya umma sasa sio binafsi..Shule za English medium zipo nyingi tu.Siyo lazima hiyo tu.
BinafsiNi shule ya umma au binafsi? Tuanzie hapo
uongozi wa shule wameona wakusanye pesa za kubrash viatu kama wanavyofanya wale wa barabarani ....Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza.
Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo iliboreshwa na kuwa English Medium ulitangaza rasmi uwepo wa nafasi za udahili kwa Mwaka 2026, Wazazi na Walezi waliitikia tangazo hilo kwa kuchukua fomu za maombi na watoto wao kufanyiwa usaili (interview) kama ilivyoelekezwa. Baada ya usaili, wazazi walipewa matumaini kuwa nafasi zingetolewa kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa.
Hata hivyo, baada ya mchakato huo kukamilika, ilitangazwa kuwa nafasi zilizopatikana ni chache, na watoto wengi waliokuwa wamefanya usaili walikosa nafasi. Baadhi ya waliopata nafasi walipewa utaratibu rasmi wa kulipia ada kwa kutumia Control Number, pamoja na malipo ya sare za shule, kama inavyotakiwa kisheria na kwa uwazi.
Cha kusikitisha na cha kushangaza ni kwamba, baada ya hatua hiyo, nafasi zilianza kutolewa upya kwa baadhi ya watoto waliokuwa wamekosa awali, kwa masharti mapya yasiyo rasmi. Masharti hayo yalihusisha wazazi kupeleka fedha taslimu (mkono kwa mkono) za ada na sare za wanafunzi, bila kutumia mfumo wa Control Number. Zaidi ya hapo, imebainika kuwa hata watoto ambao hawakuwahi kufanya usaili kabisa walipewa nafasi kwa sharti hilo hilo la kutoa pesa taslimu.
Hali hii inaashiria wazi uwepo wa urasimu, upendeleo, na uwezekano wa matumizi mabaya ya madaraka katika zoezi zima la udahili. Utaratibu huu umewaumiza wazazi waliokuwa wamefuata taratibu halali, umeondoa haki ya usawa kwa watoto, na umeharibu imani ya jamii kwa uongozi wa shule.
Kupitia taarifa hii, naomba mamlaka husika zichukue hatua za haraka kuchunguza zoezi hili la udahili, kubaini waliohusika, na kuchukua hatua stahiki ili kurejesha haki, uwazi, na uadilifu katika taasisi za elimu.
Hili jina la Methusela mara ya kwanza kulisikia nilifikiri jina la kike.Duuh uzi umenirudishia kumbukumbu za wahitimu wa darasa la 7 mwaka 2005 Nyanza B primary school, nimewakumbuka Emmanuel Baroga, Nyabuchwenza Methusela n.k kweli siku hazigandi
Takukuru yenyewe inanuka Rushwa .....Nani atamfunga paka kengeleKama n ya umma una haki ya kulalamika mkuu uailifumbie macho swala hili nenda kwenye mamlaka kama TAKUKURU