Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?
Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.
Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.