Kuna mchambuzi anasema kama jana Simba wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?

Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.
 
Ebony naitafuta sana hii redio, inapatikanaje hewan mkuu
 
Wewe ndio unapotosha zaidi ewe liutopolo. Chama nafasi ya wazi kakosa, Bocco ni nafasi 2 karudie kuangalia ewe liutopolo.
 
Jadili uto wanatokaje baadae naon wewe unaangaliaga tu mechi lakn hujui ku analyze game ilivyo au inawezekan hukuangalia mpira vzr
 
Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?

Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.
Futa huu uzi kuepuka aibu hii. Hata Yanga wenzio wanakushangaa kwa hili uliloandika hapa
 
Ata wakirudiana Leo Simba atafungwa.
 
Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?

Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.
Huyo mchang'ombe hajui mpira
 
Wewe ndio unapotosha zaidi ewe liutopolo. Chama nafasi ya wazi kakosa, Bocco ni nafasi 2 karudie kuangalia ewe liutopolo.
Bocco alikosa nafasi moja ya wazi ambayo alikutana na kipa zile zingine mbili zilikua 50/50 maana tayari kuna mabeki wa timu pinzani walishafika kuzuia hata ile ya chama aliyopiga shuti kali off target tayari mabeki wa horoya walishafika kwenye mstari wa goli kuzuia kwaiyo hata angepiga on target haikua 100% kwamba angefunga
 
Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?
Maana yake ni kwamba wangetulia wangetengeneza nafasi zaidi, na wangezitumia hizo nafasi wangepata hayo mabao. Mbona inaeleweka?
 
Bocco alikosa nafasi moja ya wazi ambayo alikutana na kipa zile zingine mbili zilikua 50/50 maana tayari kuna mabeki wa timu pinzani walishafika kuzuia hata ile ya chama aliyopiga shuti kali off target tayari mabeki wa horoya walishafika kwenye mstari wa goli kuzuia kwaiyo hata angepiga on target haikua 100% kwamba angefunga
Kwa mtazamo wako wewe ni hivyo.
 
Approach ya mwalimu ndio imetufelisha.

Alikosea kupanga game toka awamu ya kwanza
 
Back
Top Bottom