Futa huu uzi kuepuka aibu hii. Hata Yanga wenzio wanakushangaa kwa hili uliloandika hapaNiko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?
Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.
Huyo mchang'ombe hajui mpiraNiko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?
Mi nadhani Simba ndo wanapaswa kushukuru kufungwa goli moja kwani zilikuwa ziwe 3 km si uhodari wa Manula. Ebony tafteni wachambuzi wa maana sio hao wachambuzi uchwala wanaopotosha watu.
Na tungefunga hizi ingetuonhezea utulivu na hayo magoli manne au tano kweli yangepatikana.Zipo nafasi 2 za bocco na moja ya chama.
Upo sahihi....Bongo tuna wasimuliaji wa matukio ya mechi tu hatuna wachambuzi
Bocco alikosa nafasi moja ya wazi ambayo alikutana na kipa zile zingine mbili zilikua 50/50 maana tayari kuna mabeki wa timu pinzani walishafika kuzuia hata ile ya chama aliyopiga shuti kali off target tayari mabeki wa horoya walishafika kwenye mstari wa goli kuzuia kwaiyo hata angepiga on target haikua 100% kwamba angefungaWewe ndio unapotosha zaidi ewe liutopolo. Chama nafasi ya wazi kakosa, Bocco ni nafasi 2 karudie kuangalia ewe liutopolo.
Maana yake ni kwamba wangetulia wangetengeneza nafasi zaidi, na wangezitumia hizo nafasi wangepata hayo mabao. Mbona inaeleweka?Niko nasikiliza michezo kupitia Ebony FM, kuna mchambuzi anasema eti Simba jana km wangetulia wangefunga goli 4 hadi 5. Hivi ukiondoa ile nafasi ya wazi aliyokosa Bocco kuna nafasi gani zingine ambazo Simba walipata?
Kwa mtazamo wako wewe ni hivyo.Bocco alikosa nafasi moja ya wazi ambayo alikutana na kipa zile zingine mbili zilikua 50/50 maana tayari kuna mabeki wa timu pinzani walishafika kuzuia hata ile ya chama aliyopiga shuti kali off target tayari mabeki wa horoya walishafika kwenye mstari wa goli kuzuia kwaiyo hata angepiga on target haikua 100% kwamba angefunga
Wewe ndio unapotosha zaidi ewe liutopolo. Chama nafasi ya wazi kakosa, Bocco ni nafasi 2 karudie kuangalia ewe liutopolo.
Mleta mada kasema ngapi?Ukijumlisha unapata ngapi?? Na huyo mchambuzi kasema ngapi?
Mbona simpo tu.