Bahati mbaya nchi hii kuna watu wengi wanapenda ufuska na hasa uliopindukia wa kutamani jinsia yake mwenyewe.
Mfalme haimbi matusi na kwa hiyo watu kama hawa hawawezi kuwa mashabiki wake.
Sitashangaa shoga kutoitaja nyimbo ya Alikiba kwa sababu hazimpi nafasi ya kuonesha hisia zake.
Hata hivyo mimi si mpenzi wa muziki wa kisasa wa bongofleva kwa kuwa una matusi yasiyoweza kutamkika na watu ndio wanayataka hayo.
Ninaunga mkono wasanii wanaofanya classic bongo fleva.Nawakumbuka sana wasanii wa miaka ya 2000- 2009 hivi,ambao waliimba nyinmbo zenye ujumbe na kugusa sana hisia za wengi hadi bongofleva ikakubalika kuliko muziki wa dansi.
Hawa vijana wa utopolo wanaweza kuwa ni wale wanaolipwa Ku promote umalaya na ushoga katika mpango maalumu wa kufikia "New world order" kama wasanii wavyolipwa kwa kuimba matusi.
Mtu akiimba matusi na amejisajili kwa hawa jamaa,wimbo wake unakuwa # one on trending ndani ya masaa ili kuvutia watu.Hiyo ni mipango ya ibilisi.