Kuna mda napoteza Imani na nguvu ya Mungu dhidi yetu wana-Adam

Hichi kitu kinanipa stress sana, utakuta Kuna kitu kinaila na kuiumiza familia flani miaka na miaka, watu wanateseka na Mungu yupo tu anaangalia??

Mimi siwezi kuamini Hakuna Mungu, ila naamini Mungu ana sifa ya upendeleo, ana mpa anaemtaka yeye, na anaweza akaacha mtu ateseke maana anamsaidia anaemtaka yeye, hapangiwi
 
Basi Sio mtenda haki.... Na hivyo vitisho vya siku ya mwisho mara moto ni vya nini? Kuna shida iko mahali
 
Uwepo wa Mungu ni hadithi tu zisizo na ukweli wowote.

Mungu anaetajwa kwenye biblia ama quran hayupo. Hilo liko wazi kwamba zile ni hadithi za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Huna sababu ya kuhangaika na hizo dini na hadithi zake.
 
Uwepo wa Mungu ni hadithi tu zisizo na ukweli wowote.

Mungu anaetajwa kwenye biblia ama quran hayupo. Hilo liko wazi kwamba zile ni hadithi za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Huna sababu ya kuhangaika na hizo dini na hadithi zake.
Huyu anayesema hivi anaamini kuwa alikuwa ni SHAHAWA VIUNONI MWA BABA YAKE.
 
Mungu yupo,tukumbuke ameshatupa mamlaka ya kutenda kama yeye...ukisoma mwanzo 1:27 Mungu aliumba mtu kwa mfano wake..
Shida tuliyonayo wanadamu wengi ni hatujui jinsi ya kutumia nguvu iliyomo ndani yetu ili kukabiliana na changamoto mbali mbali badala yake tunabaki tukimlaumu Mungu,Mungu hayupo tuu kwenye dini zetu..ukijua hilo utakuwa huru sana...Mungu amembariki kila mwanadamu bila ubaguzi,waumchao na hata wasiomcha...wote amewabariki.
 
Kuna mda napoteza Imani na uwepo wa nguvu ya Mungu dhidi yetu wanaAdam. Hivi kweli Mungu yupo? Na anayaona haya yanayoendelea Duniani?

Sisi wanadamu ni wakaidi wa amri zake (huyo Mungu) na ndio sababu kuu ya maswaibu kadha wa kadha kutupata...
 
Uwepo wa Mungu ni hadithi tu zisizo na ukweli wowote.

Mungu anaetajwa kwenye biblia ama quran hayupo. Hilo liko wazi kwamba zile ni hadithi za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Huna sababu ya kuhangaika na hizo dini na hadithi zake.
kwahiyo wewe hukuumbwa uliota kama m.mea najua utajibu ulizaliwa turudi moja kwa moja kwa adam na hawa ambapo sisi wooooote ni vizazi vyao walitokea wapi ikiwa hawakuumbwa na muumba wa mbingu na ardhi waliota kama m.mea kuna vitu sio mpaka uelezwe fikiria tu mwenyewe pia vilevile hulazimishwi kukataa ama kukubali au ndio unataka kusema mwanadamu alitokana na sokwe ina maana kenge kabadilika kawa nyoka
 
I'm not gonna give up my faith
Just because it's going bad to me

Because he was there when I'm living good
So I just want him to know that.

You know, I'm not no punk I'm not soft hearted. That when it gets bad.

I believe in God every day all day
Good and bad rough and hard

5 shoots, jail time everything. Good time
Million dollars, benches all that. I believe in God, Cause he gave it all to me.
-pac
 
Hadithi za kwamba sisi sote tumetoka kwa Adam pia ni za uongo. Hata ukisoma kitabu cha hadithi kinachoitwa biblia Mwanzo 6 inasema kulikua na watu wengine kabla ya Adam so hizo stori za Adam sio sahihi.

Ambacho huelewi ni kwamba, nimesema binadamu hawawezi kua waliota kama miti, lazima kuna chanzo chake lakini sio kilichoandikwa kwenye biblia ama quran. Hao walioandikwa huko hawawezi kua ndio walioumba binadamu, haiwezekani kwa sababu uwezo huo hawana.

Ndio maana nasema, kama Mungu aliemuumba mbingu na nchi ndio yule alieandikwa kwenye quran ama biblia basi mungu hayupo, mambo ya Mungu kwenye hivyo vitabu ni ya kutunga tu hayana ukweli wowote.
 
kwamaana hiyo wa kwanza kuumbwa alikuwa nani?
 
Tenga muda, ongea na kiongozi wako wa kidini,atakusaidia imani yako isimame imara, na kama ni mtumishi kweli wa Mungu basi ataweza kukujibu maswali yako.
lakini pia jifunze kusali na kusoma neno la Mungu, roho atakufunulia majibu ya maswali yako...
kuna mambo MUNGU anaacha yatokee maana siku ya hukumu ipo, ila wewe timiza wajibu wako na simama na ahadi za Mungu juu yako, maaisha yatakuendeea vizuri tu.
 
Kisabato zaidi
 
Kuna mda napoteza Imani na uwepo wa nguvu ya Mungu dhidi yetu wanaAdam. Hivi kweli Mungu yupo? Na anayaona haya yanayoendelea Duniani?
Vipi kuhusu shetani unaamini kwamba yupo na anapotosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…