Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Sio mtenda haki.... Na hivyo vitisho vya siku ya mwisho mara moto ni vya nini? Kuna shida iko mahaliHichi kitu kinanipa stress sana, utakuta Kuna kitu kinaila na kuiumiza familia flani miaka na miaka, watu wanateseka na Mungu yupo tu anaangalia??
Mimi siwezi kuamini Hakuna Mungu, ila naamini Mungu ana sifa ya upendeleo, ana mpa anaemtaka yeye, na anaweza akaacha mtu ateseke maana anamsaidia anaemtaka yeye, hapangiwi
tufanyeje sasa ili tupate wote...maana kama vile hii dunia ni ya wachache...!Tupo zaidi ya bilioni 7+.kila mtu apewe anachoomba hii dunia itakuwaje?
tunamlaumu mungu bure HANA BAYA.sisi binadamu ndo wabaya
Ndo ndio inavyotakiwa ili IBALANCE.tufanyeje sasa ili tupate wote...maana kama vile hii dunia ni ya wachache...!
Huyu anayesema hivi anaamini kuwa alikuwa ni SHAHAWA VIUNONI MWA BABA YAKE.Uwepo wa Mungu ni hadithi tu zisizo na ukweli wowote.
Mungu anaetajwa kwenye biblia ama quran hayupo. Hilo liko wazi kwamba zile ni hadithi za kutunga zisizo na ukweli wowote.
Huna sababu ya kuhangaika na hizo dini na hadithi zake.
Kuna mda napoteza Imani na uwepo wa nguvu ya Mungu dhidi yetu wanaAdam. Hivi kweli Mungu yupo? Na anayaona haya yanayoendelea Duniani?
kwahiyo wewe hukuumbwa uliota kama m.mea najua utajibu ulizaliwa turudi moja kwa moja kwa adam na hawa ambapo sisi wooooote ni vizazi vyao walitokea wapi ikiwa hawakuumbwa na muumba wa mbingu na ardhi waliota kama m.mea kuna vitu sio mpaka uelezwe fikiria tu mwenyewe pia vilevile hulazimishwi kukataa ama kukubali au ndio unataka kusema mwanadamu alitokana na sokwe ina maana kenge kabadilika kawa nyokaUwepo wa Mungu ni hadithi tu zisizo na ukweli wowote.
Mungu anaetajwa kwenye biblia ama quran hayupo. Hilo liko wazi kwamba zile ni hadithi za kutunga zisizo na ukweli wowote.
Huna sababu ya kuhangaika na hizo dini na hadithi zake.
Hadithi za kwamba sisi sote tumetoka kwa Adam pia ni za uongo. Hata ukisoma kitabu cha hadithi kinachoitwa biblia Mwanzo 6 inasema kulikua na watu wengine kabla ya Adam so hizo stori za Adam sio sahihi.kwahiyo wewe hukuumbwa uliota kama m.mea najua utajibu ulizaliwa turudi moja kwa moja kwa adam na hawa ambapo sisi wooooote ni vizazi vyao walitokea wapi ikiwa hawakuumbwa na muumba wa mbingu na ardhi waliota kama m.mea kuna vitu sio mpaka uelezwe fikiria tu mwenyewe pia vilevile hulazimishwi kukataa ama kukubali au ndio unataka kusema mwanadamu alitokana na sokwe ina maana kenge kabadilika kawa nyoka
kwamaana hiyo wa kwanza kuumbwa alikuwa nani?Hadithi za kwamba sisi sote tumetoka kwa Adam pia ni za uongo. Hata ukisoma kitabu cha hadithi kinachoitwa biblia Mwanzo 6 inasema kulikua na watu wengine kabla ya Adam so hizo stori za Adam sio sahihi.
Ambacho huelewi ni kwamba, nimesema binadamu hawawezi kua waliota kama miti, lazima kuna chanzo chake lakini sio kilichoandikwa kwenye biblia ama quran. Hao walioandikwa huko hawawezi kua ndio walioumba binadamu, haiwezekani kwa sababu uwezo huo hawana.
Ndio maana nasema, kama Mungu aliemuumba mbingu na nchi ndio yule alieandikwa kwenye quran ama biblia basi mungu hayupo, mambo ya Mungu kwenye hivyo vitabu ni ya kutunga tu hayana ukweli wowote.
Kisabato zaidiTenga muda, ongea na kiongozi wako wa kidini,atakusaidia imani yako isimame imara, na kama ni mtumishi kweli wa Mungu basi ataweza kukujibu maswali yako.
lakini pia jifunze kusali na kusoma neno la Mungu, roho atakufunulia majibu ya maswali yako...
kuna mambo MUNGU anaacha yatokee maana siku ya hukumu ipo, ila wewe timiza wajibu wako na simama na ahadi za Mungu juu yako, maaisha yatakuendeea vizuri tu.
Vipi kuhusu shetani unaamini kwamba yupo na anapotosha?Kuna mda napoteza Imani na uwepo wa nguvu ya Mungu dhidi yetu wanaAdam. Hivi kweli Mungu yupo? Na anayaona haya yanayoendelea Duniani?