Sasa na wewe unasubiri nini?Wadada,msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!
Weka picha...Wadada,msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!
Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
Sema kwel bwanaaaa,, nyoosha vizuri maelezo kuwa umemtongoza, lakn baada ya yeye kuwa mkweliii kuwa Ana watoto wawili wataka Ushauri..Wadada,msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!
Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
Tumia sense organ ya 6 kujibu, Kuna ujumbe mkubwa sana kwenye hii postKweli wanaume wameisha dunia hii. Hili nalo ni la kuja kulia lia JF?? Toa maamuzi kama mwanaume ya kukubali ama kukataa. Period!
Wadada,msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25 ,usiku huu simjui hanijui ,kaning'aninia nimuoe Ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!
Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
Hakikamasika ipite
MmaranguUmesema ana 25? Ni mwenyeji mkoa gani?