- Thread starter
- #21
OkFursa hiyo itumie vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkFursa hiyo itumie vzr
Sasa si umuoe?Wengine hushushwa na BWANA!Wadada, msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani nilikuwa natembea kunyoosha miguu!
Naomba ushauri wenu, (hapa nimeshawaza kimasihara)
Lakini,anajua umri wake,anapotokea na idadi ya watoto alionao.Wonders,huh? 🤔
Usithubutuana watoto wawili,