Nakazia ✍️Chai
Kati ya hawa watatu wewe ni yupi hapo?Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.
Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
View attachment 3468627
Kipa hayupo🌈🌈
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.
Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
View attachment 3468627
Kwanza tafuta kazi. pili tafuta mwanasaikolojia, tatu tafuta daktari bingwa wa mifumo ya uzazi ya wanaume.. Haupo sawa wewe. mwaka mmoja unasiku 365. umemkataa mwanamke mzuri anaekutaka zaidi ya siku 3650????? Uongo gani huo mzee???Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.
Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
View attachment 3468627
Wapumbavu wapo 11 kwenye box na bado wamepigwa chuma
Mkimbie huyo ni pepo tena mshukuru Mungu kukuepusha hadi sasaYani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali.
Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika mahati naona tu nimkubalie labda akishakutana na mimi atapunguza hamu zake
View attachment 3468627