Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Aisee wakuu, kuna mdada nadate nae ila sasa nimeanza kumchoka, saivi tuna takriban miezi 7.
ila kila week lazima nilale nae ata mara 4 au zaidi ila saiv nmemchoka, maana nikimpga bao moja nakua sitaki kuendelea kabisa.
Natamani nimuache niwe na demu mpya maana sina hisia nae kabisa na ni mzuri ana shape kubwa sana, ila ndo hivi hisia nae zimekata maana nmelala nae sana