Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aisee miezi 7 yote hiyo wewe ni mvumilivu kweri-kweri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wakuu, kuna mdada nadate nae ila sasa nmeanza kumchoka, saivi tuna takribani miezi 7.
ila kila week lazima nilale nae ata mara 4 au zaidi ila saiv nmemchoka, maana nkimpga bao moja nakua sitaki kuendelea kabisa.
Natamani nimuache niwe na demu mpya maana sina hisia nae kabisa na ni mzuri ana shape kubwa sana, ila ndo ivi hisia nae zimekata maana nmelala nae sana
Bado hamjafunguwa shule mid term?
Sijawahi kumchoka mwanamke ninayempenda
EwaaahWiseman[emoji3581][emoji3581]
hahahahhaaaampe ngwengwe atulie
Hakika umenena mdauNdiyo unagundua furaha ya kweli haiko kwenye mapenzi au vitu.
Acha uzinzi nakushauri uokoke...kila mtu unaelala naye ujue unafanya agano naye bila ya wewe kujua...kama ana roho za matatizo na mikosi katika ukoo wao nawe unazibeba...Believe me it will surely cost you ...Mimi nilikuwa muhanga wa hiyo kitu kuna kipindi utakuta umebeba roho za matatizo mengi bila kujijua na mipango yako mingi itavurugika...Mungu akusaidie macho ya kiroho......TURN TO GOD AND BE SAVED...Aisee wakuu, kuna mdada nadate nae ila sasa nmeanza kumchoka, saivi tuna takribani miezi 7.