Lkn walishindwa hata kuongoza liguePamoja na Yanga kutwaa ubingwa, walionja machungu ya maamuzi ya dhurma kwenye mechi za Mbeya city , Tanzania prisons, Geita na Coastal union (japo walishinda mechi za Geita na Coastal). Naomba mwenye kumbukumbu ya Simba kukutana na dhurma ya kiuamuzi msimu huu anijulishe.
Pamoja na Yanga kutwaa ubingwa, walionja machungu ya maamuzi ya dhurma kwenye mechi za Mbeya city , Tanzania prisons, Geita na Coastal union (japo walishinda mechi za Geita na Coastal). Naomba mwenye kumbukumbu ya Simba kukutana na -
Tukujulishe wewe kama nani?dhurma- ya kiuamuzi msimu huu anijulishe.
Ni kweli kabisaSimba ndio timu iliyopewa Penalty nyingi msimu huu na ndio timu iliyokosa penalty nyingi. Kwa ujumla ndio timu iliyo bebwa kwa nguvu zote ila ikashindikana.
Kilicho wakwamisha Simba ni kuimarika Kwa Yanga,Bahati mbaya kwao Yanga unakwenda kuimarika zaidi msimu ujao.
Mada imejikita kujua dhurma walizofanyiwa Simba. Coz kuna malalamiko kuwa dhurma zilitamalakiZungumzia mechi yenu na Namungo na Ruvu mlivyopewa draw ya kimagumashi
KivipiUzi una ka-uhuni hivi.[emoji848][emoji848][emoji848]
Naomba kujulishwa. Ili kuweka records sahihiTukujulishe wewe kama nani?
Yanga kubebwa hiyo pia ni dhuluma kwa Simba. Mlipewa points ambazo hamkustahili hiyo maana yake mliwadhulumu mliokuwa mnacheza nao na mliwadhulumu wapinzani wenu wa karibu (Simba).Mada imejikita kujua dhurma walizofanyiwa Simba. Coz kuna malalamiko kuwa dhurma zilitamalaki
Kuisimanga Simba Sports Club.Mabingwa mara nne mfululizo waliotoa na wafungaji bora wasiolialia kulogwa.Kivipi
Akili hunaSimba ndio timu iliyopewa Penalty nyingi msimu huu na ndio timu iliyokosa penalty nyingi. Kwa ujumla ndio timu iliyo bebwa kwa nguvu zote ila ikashindikana.
Kilicho wakwamisha Simba ni kuimarika Kwa Yanga,Bahati mbaya kwao Yanga unakwenda kuimarika zaidi msimu ujao.
Imekua msimu ujao tena sio round ya piliChora chini msimu ujao mamb n moto kwa hy jipangeni na wachezaji wenu wa mkopo
Yaa msimu unaofuata 2022/2023Imekua msimu ujao tena sio round ya pili
Achanana nae huyoAkili huna
Huna Akili
Kwani timu ikipata penati nyingi ndio imebebwa?je kama ni za halali zote?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ila mechi zote 2 mmeshindwa kuondoka na point 3 dhidi ya Simba!Simba ya msimu huu ilikuwa ni kama Azam tu iliyo changamka kidogo. Yaani haikutupa kabisa presha kwenye ligi. Walikuwa wakipata sare, wenyewe wanashangilia!
Yaani hawakuwa kabisa na mambo mengi. Washambuliaji butu! Morali yao ilikuwa chini! Yaani safi kabisa. Kama vipi na msimu ujao wawe hivi hivi.
Na ndiyo maana mlishangilia kama Mbeya City baada ya michezo yote miwili kumalizika.Ila mechi zote 2 mmeshindwa kuondoka na point 3 dhidi ya Simba!