Kuna mechi yoyote Simba walidhulumiwa msimu huu?

Kuna mechi yoyote Simba walidhulumiwa msimu huu?

Na ndiyo maana mlishangilia kama Mbeya City baada ya michezo yote miwili kumalizika.
Simba msimu huu haikuwa imara,ila Yanga na ubora wake imeshindwa kuchukua point 3 kwenye michezo miwili!Ni hayo tu!
 
Tate
Simba ya msimu huu ilikuwa ni kama Azam tu iliyo changamka kidogo. Yaani haikutupa kabisa presha kwenye ligi. Walikuwa wakipata sare, wenyewe wanashangilia!

Yaani hawakuwa kabisa na mambo mengi. Washambuliaji butu! Morali yao ilikuwa chini! Yaani safi kabisa. Kama vipi na msimu ujao wawe hivi hivi.
 
Simba msimu huu haikuwa imara,ila Yanga na ubora wake imeshindwa kuchukua point 3 kwenye michezo miwili!Ni hayo tu!
Ila Simba kabondwa kwenye mechi mbili muhimu za Ngao ya jamii na FA
 
Back
Top Bottom