Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Simba msimu huu haikuwa imara,ila Yanga na ubora wake imeshindwa kuchukua point 3 kwenye michezo miwili!Ni hayo tu!Na ndiyo maana mlishangilia kama Mbeya City baada ya michezo yote miwili kumalizika.