Kuna member huyu weekend hawaonekani

Kuna member huyu weekend hawaonekani

Wale wa internet za kazini hata ukiwatukana Ijumaa jioni kama amesha log off. Utajibiwa Monday morning.
Hahaha
Hapa nasemwa mimi kabisa
Haya mlio ni quote huu ndo muda wangu wa kuwajibu.

Pm kama mlinialika juzi na Jana lunch/dinner bila shaka mjue itakuwa Leo

Kwa sababu aliyotolewa na ndugu
Sky Eclat
 
Kuna watu hawa waamini hata wake/waume zao kuhusu ID zao za JF. Wakihofia wasije wakaachana nao kisha wakavuliwa bukta mchana kweupe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Hawa ni naadhi ambao naweza nikawa wekea dhamana kwa hilo la kutokuamini wake/shem zetu GENTAMYCINE, erythromycine, Zero IQ, Salary Slip, britanicca

Si wengine pia wakija shem zenu ghetto, hua tunaficha APPLICATION ya JF, tunafuta GOOGLE SEARCH HISTORY. Halafu SIM inawekewa PASSWORD ndefu kama POEM + Tarehe ya Kuzaliwa (Baba/Mama ÷ Bibi Mzaa Mama/Baba × Babu Mzaa Mama/Baba)[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]

#Kesho nikupige kibuti au unifumanie halafu ukanivue nguo, Hatupendi ujinga kabisa
Hahaha mkuu umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom