Kuna watu hawa waamini hata wake/waume zao kuhusu ID zao za JF. Wakihofia wasije wakaachana nao kisha wakavuliwa bukta mchana kweupe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hawa ni naadhi ambao naweza nikawa wekea dhamana kwa hilo la kutokuamini wake/shem zetu
GENTAMYCINE,
erythromycine,
Zero IQ,
Salary Slip,
britanicca
Si wengine pia wakija shem zenu ghetto, hua tunaficha APPLICATION ya JF, tunafuta GOOGLE SEARCH HISTORY. Halafu SIM inawekewa PASSWORD ndefu kama POEM + Tarehe ya Kuzaliwa (Baba/Mama ÷ Bibi Mzaa Mama/Baba × Babu Mzaa Mama/Baba)[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
#Kesho nikupige kibuti au unifumanie halafu ukanivue nguo, Hatupendi ujinga kabisa