Umri unatupa wengi mkono.... mtoto akilia huku.. huku nyumba inahitaji usafi.. kazini napo umeachiwa kiporo JF ujabaki guest tu.Nilimpenda ila sikuwa na mpango wa kumla.
Ndio maana nikapiga kimya tu.
Siku hizi kapotea sana jukwaani nadhani majukumu na umri
Labda mzee baba ni Id kukaribia kufananaMzee nawafananisha saana sijui ID kisa zinafanana
Kukaa kwa wanawe sina neno..ila shida yangu ipo kwenye kutimiziwa yote ayatakayo.Akchware nampenda sana mzaa chema, ndiyo nimeweka kila kitu kwa usahihi.
Infwakti anapata kila atakacho kwa muda sitahiki, hajutii kuja kukaa na mwanawe pamoja na mkwe.
Khantwe mkwe ukuje useme mwenyewe
Basi unafanana na maidioti wenzioMimi siamini kama kuna mtu kafanana na mimi kuanzia lifestyle hadi mawazo
mimi naamini nipo kwenye top 5 ya best Ideot ever wa jf.
na ya asubuhi piaI see boss.
bila shaka kwenye elimu ya usiku.