Kuna member JF wanafafanana humu

Kuna member JF wanafafanana humu

Nilimpenda ila sikuwa na mpango wa kumla.
Ndio maana nikapiga kimya tu.
Siku hizi kapotea sana jukwaani nadhani majukumu na umri
Umri unatupa wengi mkono.... mtoto akilia huku.. huku nyumba inahitaji usafi.. kazini napo umeachiwa kiporo JF ujabaki guest tu.
 
Hmmm. Interesting.

Bahati mbaya sikubahatika kumfahamu huyo bi dada so I don't know for sure if there are similarities in how we write.
Mfuatilie utajiona
 
Akchware nampenda sana mzaa chema, ndiyo nimeweka kila kitu kwa usahihi.
Infwakti anapata kila atakacho kwa muda sitahiki, hajutii kuja kukaa na mwanawe pamoja na mkwe.
Khantwe mkwe ukuje useme mwenyewe
Kukaa kwa wanawe sina neno..ila shida yangu ipo kwenye kutimiziwa yote ayatakayo.
 
Back
Top Bottom