Sijawahi kupewa ban ndiyo kitu gani ?hili jambo huwa najiuliza sana kama ni kweli binadamu wote ni sawa.
Kiuhalisia usawa haupo kwa kweli.
Mfano mdogo tu kuna members hawapewi Ban kabisa;
Kuna member kama Max Melo mzee mwana Kijiji na wengine, toka nimejiunga JF sijaona wakila ban,
sasa ili usawa uwepo naomba hao na wengine wapewe ban ili wote twende sawa.
Taja na wengine ambao unadhani wanastahili angalau nao wale ban.
Mkuu wapo hadi waliouza nchi zao kwasababu ya uchiSasa mtu Km Pascal Mayala naye unataka apewe ban??
Ban wanapewa jukwaa la MMU maana huko ndo watu wanachukiana na mabifu ya ajabu ajabu kisa Uchi !!.
Hayo ni matumizi mabovu ya Rasilimali Ubongo na Moyo !!Mkuu wapo hadi waliouza nchi zao kwasababu ya uchi
Ban nyingi wanapata wanaume kutokana na kuwa na mihemko ya kike
Labda hawajavunja sheria za JF😀😀😀😀Kuna member kama Max Melo mzee mwana Kijiji na wengine, toka nimejiunga JF sijaona wakila ban,
.
stroke anafuraha ya kupokea mwanachama mpya kutoka huko Banana na Mombasa. hahahahahahaMkuu, naona umeamua kunipiga majungu, ama unanionea wivu
Mkuu, naona umesahau neno hapo mbele ya "wanaume", ungeongezea wa Dar..... tehteehhhBan nyingi wanapata wanaume kutokana na kuwa na mihemko ya kike
Kwani kuna majukwaa ya ban mkuuunapendelea jukwaa gani?
Nipige kofi shavu la kulia nakugeuzia na la kushoto Hajar, sasa mtu kama mimi nitapataje ban kwa mfano?Sesten Zakazaka hivi ushawahi pataga hii kitu inayoitwa ban?
Vipi wewe Hajar ushawahi kuchezea ban? Katika mazingira gani na upole wako huo?Sesten Zakazaka hivi ushawahi pataga hii kitu inayoitwa ban?
Hahaaa. Ila si kwa kujisifia huko. Hongera zako bana.Nipige kofi shavu la kulia nakugeuzia na la kushoto Hajar, sasa mtu kama mimi nitapataje ban kwa mfano?