Kuna members humu hawapewi Ban hii ni double standard

Kuna members humu hawapewi Ban hii ni double standard

Kwa hii mada yako ya uchochezi,unastahili ban nyingine inaonekana ile ya mwanzo haijakusaidiaa!
 
hili jambo huwa najiuliza sana kama ni kweli binadamu wote ni sawa.

Kiuhalisia usawa haupo kwa kweli.

Mfano mdogo tu kuna members hawapewi Ban kabisa;

Kuna member kama Max Melo mzee mwana Kijiji na wengine, toka nimejiunga JF sijaona wakila ban,

sasa ili usawa uwepo naomba hao na wengine wapewe ban ili wote twende sawa.

Taja na wengine ambao unadhani wanastahili angalau nao wale ban.
Sijawahi kupewa ban ndiyo kitu gani ?
 
Ban nyingi wanapata wanaume kutokana na kuwa na mihemko ya kike

Ban nyingi wanapata wanaume halafu mihemuko ni ya kike!

Huwa nashangaa sana wanaume wanapofanya mambo ya hovyo mnasema ni mambo ya kike wakati wanaoongoza kuyatenda ni wanaume,pathetic.
 
Ukitaka usipate ban milele, we tembelea na kuchangia jukwaa la utambulisho na kilimo, uvuvi na mifugo hakuna ban kule
 
iv Kati ya MCHAGA NA BANGI nan anataka moshi??

ACHA BANGI IITWE BANGI!!!
 
Back
Top Bottom