Kuna mengi duniani

Kuna mengi duniani

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Jamaa yangu mmoja aliniambia yeye na mpenzie watakapo kushiba hula chakula ya wakubwa lakini hulia sakafuni eti ina mvutia sana kuliko juu kwenye bed! Hii imekaaje, Duh maana nnlijaribu one time nilikiona cha moto kwenye magoti yangu................
 
mmh babu darin kitu mwanzo mwisho.........raha tupu!!!
sakafun pa ukweli...kwa free zone hakuna mipaka!!!!!!!
 
Anachokipenda yeye,sio lazima na wewe ukipende.wengine wanapenda jikoni,ndani ya gari,kwenye kochi. inategemea na mapendekezo yako
 
Mi hula peke yangu tena kwa uchoyo sana, najifungia mwenyewe bafuni
 
watu wana vituko duniani kuna jamaa mmoja yeye kabla hajaenda kwenye pambano kwanza anajichakachua bafuni kimoja ndio anaenda kwenye pambano otherwise during foreplay anarusha kombora hewani
 
mh Kimbweka,kama zilivyo wiki za nenda kwa usalama,naona hii ni wiki ya mapenzi kwako,,,lol
 
Jamaa yangu mmoja aliniambia yeye na mpenzie watakapo kushiba hula chakula ya wakubwa lakini hulia sakafuni eti ina mvutia sana kuliko juu kwenye bed! Hii imekaaje, Duh maana nnlijaribu one time nilikiona cha moto kwenye magoti yangu................
Duh, mwanangu eee, Rose kishasema, lakn hiyo avatar yako hapo inaniacha mbavu nje. Yaani dogo anachungulia kitu kwa pozi, duh!!!!!!!
 
Back
Top Bottom