Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Jamaa yangu mmoja aliniambia yeye na mpenzie watakapo kushiba hula chakula ya wakubwa lakini hulia sakafuni eti ina mvutia sana kuliko juu kwenye bed! Hii imekaaje, Duh maana nnlijaribu one time nilikiona cha moto kwenye magoti yangu................