Kuna mfanyakazi 'immigration', TANESCO au TRA Maskini?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
 
Njoo tunyanyue nguzo na wewe uwe tajiri
 
Huko tayari unakuwa umejipata, lkn mbona polisi wanapiga madili mengi mixer kupora hela zetu ila bado njaa, au kweli kuna laana
 
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
Mkuu Andrew123 Salam kwako. Nimesikitishwa na kampeni unayoianzisha ya kushabikia wizi na ulaji wa rushwa (Pesa ya kubrushia viatu). Kama kila mtu akitamani taasisi Fulani kwavile ina mianya ya kula rushwa & wizi nchi itaendelea kweli? I am disappointed!!!​
 
Wewe ijenge nchi kwa upande wako wacha wanaotusua watusue tu.

Kama unaona wanaopitisha kikokotoo wao hakiwagusi na bado hujastuka unataka wajukuu zako waseme walikuwa na Babu Lafa sanaa
 
Back
Top Bottom