Kuna mgao wa umeme?

Kuna mgao wa umeme?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Katikati ya tozo za miamala, umeme unakatwa na kurudishwa bila taarifa.

Katikati ya tozo za miamala rais yupo kwenye kuponda raha katika kile kinachoitwa royal tour.

Katikati ya tozo za miamala tunapewa ripoti ya makusanyo ya 48B lakini umeme bado unakatwa.

Nataka kufahamu nchi hii ipo kwenye kiza? Tatizo nini? Mama na serikali yake si waondoke madarakani? She is lacking vision she is a failure. Yaani she is busy with royal tour she is becoming a mother of nonsense now. She is losing control? huu upuuzi hauvumiliki kwa sababu bila umeme hakuna maendeleo kuanzia ya mtu binafsi mpaka ya nchi nzima.

TANESCO
 
JPM atakumbukwa daima.

R.I.P my dear president. I am still missing you BIG TIME.
 
Sasa hivi wakizima umeme filiji likiungua au TV kulipuka unaweza kuwafungulia mashtaka Tanesco ndio mambo ya kulipa na kulipana kodi na miyamara ni razima pawepo na usawa.
 
Back
Top Bottom