Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

We kibwengu wa Slowly tangu ujiunge april mwaka huu umekua kituko humu.Propaganda za kitoto,hii ni awamu yenye vijana mapoyoyo kwa hoja za kitoto zisizo na ushawishi hata kidogo
 
Kwa sisi tuliokuwepo tangu CCM inazaliwa,sijawahi ona kipindi ambacho "Idara ya Propaganda" imeajiri vijana vilaza kupindukia kama kipindi hiki. Nakumbuka wakina Kabudi wakiwa kitengo cha propaganda enzi hizo,angalau walikuwa wanakushawishi kwa maandiko yao magazetini. Hawa wa sasa naamini wameokotwa Mbagala,Temeke,Kariakoo,UBT na Manzese. Hakika hawa ni jamii ya wapiga debe ambao tulizoea kuwakuta kwenye vituo vya daladala.
 
Mbona jana nimemwona Mh. MWAMOTO akililia bunge liahirishwe kwa muda, wabunge wapimwe kwanza? Hivyo hivyo Mh. Juma Nkamia (yule mjinga mjinga yule). Sasa kwa nini tuwahukumu chadema?
 
Bia Yetu mbona unateseka sana na Chadema? Utakufa kwa Presha huna cha kuifanya Chadema yameandikwa mengi sana juu ya Chadema wewe juzi tu umeibuka na chadema huiwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siku hizi huku mitandaoni zimeja takataka tu na wala usifikiri hao ni wameteuliwa kuwa wana propaganda,
Si ccm si chadema hao wote ni mashabiki maandazi ambao wako tayari kutetea uharo wowote uliofanywa na viongozi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mlizaliwa na matusi ?
We kibwengu wa Slowly tangu ujiunge april mwaka huu umekua kituko humu.Propaganda za kitoto,hii ni awamu yenye vijana mapoyoyo kwa hoja za kitoto zisizo na ushawishi hata kidogo
 
Wewe endelea na uganga wa kienyeji,,,,na bado watazid kudondoka kama Kuku wa mdondo
 
Hamna hata issue kubwa alikuwa wanasema kwa nini sisi wenye uwezo wa kununua mask na sanitizer ndio tukae home?
Sasa unaona hiyo siyo issue kubwa. Wapigakura wako unawaacha wakati wewe unauwezo wa kupata PPE unakimbilia kujifungia ndani wakati wao wanaendelea kupambana na maisha wewe unaikimbia kazi waliyokutuma? Najua kuna group la wabunge la Chadema halina shida linapata ruzuku ya chama linajua miezi miwili hii nitapiga pesa za ruzuku.
 
Hizo zote posho wakifikilia posho za bungeni moja haikai waende tu watajua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…