Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Bia yetu weka vielelezo.
Kwanza ilitakiwa ueleze wazi (declare interest) kuwa wee ni mwana CCM kindakindaki, na ilitakiwa uweke video clip ili tukuamini, kinyume Cha hapo, ni propaganda tu
20200505_090133.jpeg


Ushahidi huo hapo
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Mwisho wa siku wabunge hawa wanawajibika kwa wananchi waliowachagua na siyo waliowateua kugombea ubunge.
 
Mkuu Sumaye angeamua kwenda mahakamani Mbowe angehukumiwa maisha jela

Sumaye aliamua kumstiri Mbowe
Ccm ijue hilo iache kumshawishi aende mahakamani, ccm hii ya Magufuli, wewe hata hujui unachoongea afadhali unyamaze tu.

Umekuwa blinded na siasa na propaganda za kichama kiasi kuwa hauna kabisa hoja ya msingi ya kusema. Better keep quiet.
 
Bro even chadema's lack legitimacy and accountabilities, no one who's fit upsatairs can trust them, they are one's who put finger on lowasa's accountability and tells people that a man was corrupt leader but you know what happened in 2015.... CDM you have a subsides of more than 300m per month, but you lack even a proper offices for administration how can we trust you to run the country??
You preach about democracy while you don't practice it, in your party a county chairman serve in power for more than 20 years and you know what is happened for those who ßwant to challenge him. At least in Dr slaa era we saw the constructive agendas but nowdays we don't know what you are standing for... Mnarukia agenda na kufanya siasa za social networks. Hazitawasaidia

Know you must prepared psychologically, you will never serve as the opposition camp in parliament, as a nation we need a constructive criticism from the new opposition camp in parliament I think NCCR will do it better.


Sent using Jamii Forums mobile app
Please take note that ccm has never built any of the offices they occupy but they all belong to us and once they will be removed from the government they will be promptly evicted from those offices the way Kanu was evicted in Kenya and Unip in Zambia, so please bear that in mind.

Secondly, note that Mbowe was legitimately elected as the party chairman in a free, fair and democratic election and even after the election was declared over neither of the losers who contested the results.

Thirdly, you talk about democracy ineptly without knowing what it actually connotes or ostensibly to divert the attention of the disillusioned people from the gross violation of human rights taking place in this country that have even caught the attention of the international community and the organizations dedicated to human rights worldwide.

Lastly, you predict the Nccr-mageuzi as the potential main opposition party after the forthcoming elections.

Although I wouldn't like to join you in that fake bet, I cannot argue a lot about it mainly because in a country where the ruling party is a part of the electoral commission's command and control structure means the former can freely manipulate the electoral machinery to make that happen owing to the fact that since the re-introduction of the multi party system in this country no election has ever been free, fair and credible.

Every time the election is conducted the infamous ruling party would make use of the bogus electoral commission, the intelligence services and the secret police to massively rig the polls in its favour something that has now become a routine, a trend that has now resulted in the immense voter apathy.
 
Back
Top Bottom