Mou ana wachezaji wazuri mno na mahusiano yake na wachezaje ndiyo yanamtafuna haoni klopp mwenzake anavyowapa moyo wachezaji wake...timu ina wachezaji wa kawaida ila mahusiano baina ya boss na wachezaji ni mazuri na hujenga timu nzuriUwezo wa Jose Mou ni Mdogo kwa kiwango cha timu kubwa kama MU. Uwezo wa Manager yoyote sio kufundisha soka tu bali pia mahusiano yake na wachezaji na wafanyakazi wengine. Ushindi unapatikana kwa ushirikiano wa Mwalimu, wachezaji na bench la ufundi na bodi ya timu. Mfano Mou alikosana na daktari unaona ilivyo athiri timu nzima.
sawa mjenga hojaKama wewe ulivyo kuwa na akili za upupu hata kujenga hoja huwezi
Wewe nawe una upofu ama,Liverpool haina wachezaji wazuri kuliko Man united, kinacho watofautisha ni spirit ya kupambana uwanjani,na klopp anatambua upendo na good relationship kwa wachezaji ndiyo key to his successMan Utd si ya kuifananisha na liver kwa aina ya wachezaji mkuu,
kuanzia beki hadi kiungo kuna wachezaji watatu tu wa maana, bailly, matic na pogba,
Hawa wengine hawakustahili kabisa kua pale
wanakuzwa na media tu.
Wenzetu wanaangalia pesa na ndoto pia...uwezi jua ndoto yake ni kuja kucheza moja ya izo timuHuyo Pogba mwenyewe nina mashaka na kichwa chake! Jamaa uwezo wake upstairs inaonekana upo chini sana ;mchezaji wa Man Utd mwenye akili zake hawezi kubabaika kwenda Barca au Real ,Manchester ni timu kubwa Duniani same level na huko wachgezaji washamba wengi wanakobabaishwaga! maana Dogo mshahara anaolipwa Old Traford Barca hawawezi kumpa believe me. Sasa timu imempa hela hiyo halafu yeye hataki kuipa respect humo kichwani mwake kuna nini?
Upande mwingine bodi nayo ina nakisi Fulani sababu haiwezekani timu ina uwezo na mapato yanaongezeka kila mwaka halafu mmbanie kocha hela ya kusajili, Wana sababu gani wasimpe hela ya usajili hata kama alipewa hela nyingi huko nyuma?, EPL ya miaka hii ya karibuni hivi kuna kutoboa kweli bila kusajili?
sawa mkuu naheshimu imani yako.Wewe nawe una upofu ama,Liverpool haina wachezaji wazuri kuliko Man united, kinacho watofautisha ni spirit ya kupambana uwanjani,na klopp anatambua upendo na good relationship kwa wachezaji ndiyo key to his success
Acha upuuzi lofa wewe you know nothing about united , Mara ya mwisho united kucheza mechi za saba za mwanzo na kuambulia point 7 ni mwaka 1980s , yani msimu this season mechi saba za mwanzo ni worse tangu miaka ya 80, huoni tofauti tu ??
Usitimue hoja za ubaguzi eti kwa kuwa wachezaji weusi hawana akili, sasa wazungu watubague na amwatuite nyani na sisi wenyewe tujiseme vibaya au wewe mwenzetu ni mzungu...hoja ya kusema wachezaji weusi hawana akili ifutulie mbali kabisa...humuoni DIDER DROGBA alivyojenga heshima pale bridge Chelsea mashabiki wote mpaka leo wanamuita king..wewe na hoja zako za ngozi nyeusi its too cheap for making reasonsawa mjenga hoja
Ndiyo ukweli huo mkuu, tatizo hatupendi kujua ukwelisawa mkuu naheshimu imani yako.
Ndio maana nimesema wachezaji wengi wenye asili ya afrika na si woteUsitimue hoja za ubaguzi eti kwa kuwa wachezaji weusi hawana akili, sasa wazungu watubague na amwatuite nyani na sisi wenyewe tujiseme vibaya au wewe mwenzetu ni mzungu...hoja ya kusema wachezaji weusi hawana akili ifutulie mbali kabisa...humuoni DIDER DROGBA alivyojenga heshima pale bridge Chelsea mashabiki wote mpaka leo wanamuita king..wewe na hoja zako za ngozi nyeusi its too cheap for making reason
sawa.Ndiyo ukweli huo mkuu, tatizo hatupendi kujua ukweli
Kwa mara ya kwanza kumuona Jose ni alipowasili London kuwa Mensah wa Chelsea. Du alikuwa na kasura katamu
Sir Alex aliikuta Man U mbovu kuliko hii ya Morinho mwaka 1986/87 wakati anajiunga na timu! Sema tuu mzee Fergie ni mwalinu wa mpira na huyu Morinho ni mbabaishaji! Labda ndio vile wasemavyo kuwa ana 'areji' na msimu wa tatu kwa timu anazofundisha! Asepe tu mbinu zake zimeshapitwa na wakatiMou nae ameikuta timu ipo kwenye hali mbaya huwezi kufananisha sir alex na Mou
Mimi mwenyewe nimemshangaa! Real madrid na Barca ni same level na Man U kweli?Braza are u real serious? Mbona unaongea jazba kuliko facts. Wachezaji wote mashuhuri na wazuri duniani ndoto yao kubwa ni kucheza barca au madrid hilo unalijua sema una zile style za kuunga mkono juhudi. David beckam na christiano ronaldo wote walikua wafalme united ila walitimkia madrid. Usichokielewa ni kwamba kimpira united ni timu kubwa uingereza, barca na madrid ni timu kubwa dunian. Unasema hawawez kumlipa mshahara anaolipwa pale united braza acha comedy bas dah. Hiv unajua pogba analipwa shngap? Hzo pesa zake pale barca ndio wanalipwa wakina busquet.
Pumba kwa wachezaji kama baily na fellaini si pumba izo lukaku umfananishe na firmino,nyie mmetuzd kipa na pogba basi ila mfano uyu sanchez wa sshv n mdogo sana kwa mane uyu bado sijamtaja salahWachezaji ilionao Man U wanatosha Kushindana na timu yoyote EPL. Liverpool wana wachezaji gani kuzidi Man U? Timu imekosa ari, na hili si tatizo la uongozi ni tatizo la mwalimu. Mleta mada yuko sahihi, hata Mimi mwanzo nilidhani tatizo ni aina ya wachezaji. Chukua mchezaji mmoja mmoja Man U linganisha na wa Liverpool halafu leta mrejesho.