nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Nimependa ulivyojibu mkuu ila tupe hizo kanuniTo be honesty Man U hii ya sasa ni ya ovyo kuliko ya Van Gaal, takwimu zinaonesha hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa ulivyojibu mkuu ila tupe hizo kanuniTo be honesty Man U hii ya sasa ni ya ovyo kuliko ya Van Gaal, takwimu zinaonesha hivyo.
Takwimu sorrNimependa ulivyojibu mkuu ila tupe hizo kanuni
Naona hunijui vizuri wewe Snafu,Hujajibu swali uliloulizwa we fala,
nimekuuliza ni Man Utd gani ilikua na nafuu baada ya kuondoka babu yenu?
Man Utd si ya kuifananisha na liver kwa aina ya wachezaji mkuu,
kuanzia beki hadi kiungo kuna wachezaji watatu tu wa maana, bailly, matic na pogba,
Hawa wengine hawakustahili kabisa kua pale
wanakuzwa na media tu.
Nyie vijana mmekula maharage ya wapi mnagombana humu.Naona hunijui vizuri wewe Snafu,
Unaonekana ulikimbia umande, sasa nakusubiri ujipendekeze tena ili nikuoneshe kwanini chips hazina ukoko.
Karibu tena .
duh sipo hapa kujua mtu mkuu,Naona hunijui vizuri wewe Snafu,
Unaonekana ulikimbia umande, sasa nakusubiri ujipendekeze tena ili nikuoneshe kwanini chips hazina ukoko.
Karibu tena .
De gea ulimuona WC?Aiseeee kwa hio hata de gea anakuzwa na media? duh man u ina wachezaji vipaji ila hawatumiwi ipasavyo.
Tatizo la kocha anajijua mwenyewe kila aendapo anachukiwa na wachezaji
No nmesema kuanzia beki hadi viungo numbisaAiseeee kwa hio hata de gea anakuzwa na media? duh man u ina wachezaji vipaji ila hawatumiwi ipasavyo.
Tatizo la kocha anajijua mwenyewe kila aendapo anachukiwa na wachezaji
Kubali tu de gea kiwango sasa kipo chiniDe gea wa man u tofauti na WC
Kubali tu de gea kiwango sasa kipo chini
Mesi naye kachoka tuMkuu ulimuona Messi wa WC? Huyo huyo umemuona UEFA na LIga utasema kisa aliboronga WC basi kaisha au?
De gea bado yupo imara,magoli anayapangua vizuri tu,yanayoingia sio kosa lake sababu hachezi peke yake ndani ya Man u
Mesi naye kachoka tu
Huyo Pogba mwenyewe nina mashaka na kichwa chake! Jamaa uwezo wake upstairs inaonekana upo chini sana ;mchezaji wa Man Utd mwenye akili zake hawezi kubabaika kwenda Barca au Real ,Manchester ni timu kubwa Duniani same level na huko wachgezaji washamba wengi wanakobabaishwaga! maana Dogo mshahara anaolipwa Old Traford Barca hawawezi kumpa believe me. Sasa timu imempa hela hiyo halafu yeye hataki kuipa respect humo kichwani mwake kuna nini?
Upande mwingine bodi nayo ina nakisi Fulani sababu haiwezekani timu ina uwezo na mapato yanaongezeka kila mwaka halafu mmbanie kocha hela ya kusajili, Wana sababu gani wasimpe hela ya usajili hata kama alipewa hela nyingi huko nyuma?, EPL ya miaka hii ya karibuni hivi kuna kutoboa kweli bila kusajili?
Mou nae ameikuta timu ipo kwenye hali mbaya huwezi kufananisha sir alex na MouKabla ya mou Man Utd ilikua na ubora zaidi ya sasa? tangu aondoke babu yenu!
Kama wewe ulivyo kuwa na akili za upupu hata kujenga hoja huweziwachezaji wengi wenye asili ya afrika ni akili ndogo mkuu.
Naona hunijui vizuri wewe Snafu,
Unaonekana ulikimbia umande, sasa nakusubiri ujipendekeze tena ili nikuoneshe kwanini chips hazina ukoko.
Karibu tena .