Kuna mgomo Manchester United. Wachezaji hawamtaki Mourinho

Kuna mgomo Manchester United. Wachezaji hawamtaki Mourinho

Kwangu mm japo si mshabiki wa man u. De gea kiwango hakipo chini. Ila degea ana weak defence mbele yake. Defence ya kina lindelof na smalling, defence mbovu kupata kutokea.
Pili inawezekana na yeye pia yuko ktk mgomo na wenzie.
Kubali tu de gea kiwango sasa kipo chini
 
Mou ji destroyer. Karibia kila timu anayotoka anaondoka akiwa na beef na wachezaji.
Mou ana wachezaji wazuri mno na mahusiano yake na wachezaje ndiyo yanamtafuna haoni klopp mwenzake anavyowapa moyo wachezaji wake...timu ina wachezaji wa kawaida ila mahusiano baina ya boss na wachezaji ni mazuri na hujenga timu nzuri
 
Unamfanisha mshambulia wa liver na kiungo na beki wa man u. Nafas tofauti kabisa.
Angalia vizur vipimo vyako
Pumba kwa wachezaji kama baily na fellaini si pumba izo lukaku umfananishe na firmino,nyie mmetuzd kipa na pogba basi ila mfano uyu sanchez wa sshv n mdogo sana kwa mane uyu bado sijamtaja salah
 
Umeona lakini attitude ya huyo Pogba? Hivi mchezaji mwenye nidhamu na yuko sawa anaweza kubehave vile hata kama mmegombana na kocha?
Tatizo ni kocha ,. Please understand !!!!
 
To be honesty Man U hii ya sasa ni ya ovyo kuliko ya Van Gaal, takwimu zinaonesha hivyo.
Kwa matokeo sio kwa ubora was wachezaji,. Man ina wachezaji wazuri kuliko hata Liverpool. Tena wengi.
 
Braza are u real serious? Mbona unaongea jazba kuliko facts. Wachezaji wote mashuhuri na wazuri duniani ndoto yao kubwa ni kucheza barca au madrid hilo unalijua sema una zile style za kuunga mkono juhudi. David beckam na christiano ronaldo wote walikua wafalme united ila walitimkia madrid. Usichokielewa ni kwamba kimpira united ni timu kubwa uingereza, barca na madrid ni timu kubwa dunian. Unasema hawawez kumlipa mshahara anaolipwa pale united braza acha comedy bas dah. Hiv unajua pogba analipwa shngap? Hzo pesa zake pale barca ndio wanalipwa wakina busquet.
Kuwa serious, Busquet haiwezi mfikia Pogba pesa anayolipwa. Wacezaji United wanalipwa vizuri kuliko Barca.

Pia Man utd ni timu kubwa sio UK pekee na duniani pia.
 
Kuwa serious, Busquet haiwezi mfikia Pogba pesa anayolipwa. Wacezaji United wanalipwa vizuri kuliko Barca.

Pia Man utd ni timu kubwa sio UK pekee na duniani pia.
Hebu mwambie huyo jamaa ni vile hajui tu na uvivu wa kufuatilia soka...vilabu vya barca & R.madrid hawalipi vizuri sana kulingana na majina yao ya vilabu,angalia mtu kama Grizman pale Atletico Madrid analipwa zaidi kuliko hata C.ronald wakati yupo Real madrid
 
Back
Top Bottom