Kuna miaka itafika, kutakuwa na vyuo vya watu kusomea ujinga ili wafanikiwe (foolish skill and management)

Kuna miaka itafika, kutakuwa na vyuo vya watu kusomea ujinga ili wafanikiwe (foolish skill and management)

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
486
Reaction score
1,237
Kwa hali ninavyona mimi!

Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi!

Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada kiuchumi!
Elimu yetu itakwenda kuongeza utapeli mwingi kwa watu

Elimu yetu inakwenda kuwafungia watu kwenye chumba cha kusubiri kutumwa (ajira)
(Elimu inakwenda kuwalock down ya watu)
Wajinga wanaotakiwa kutumwa na kutumika watakuwa wachache sana hivyo wasomi watalazimika kwenda kusomea ujinga ili wafanikiwe!

Yaani zile kazi za kujitoa akili zitakuwa zinalipa sana na hazitahitaji CV kuajiliwa, Zitakuwa na faida kuliko PHD ambayo haizalishi ajira!
 
Back
Top Bottom