maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
Kama solar system ina sayari tisa na jua ndiyo kitovu cha maisha, njoo tuangalie yafuatayo
Tumesoma na kuelewa kuwa jua ni nyota na tukaambiwa tunaona kubwa kwa kuwa iko karibu na nyota tunaziona
ndogo kwa kuwa iko mbali lakini inaweza kuwa kubwa zaidi ya jua letu. Hoja ni kwamba kama ndo iko hivyo basi kuna mifumo mingi ya sayari in the universe kama ilivyo mfumo wa kwetu na pia kuna maisha kama yalivyo kwa sayari yetu ya dunia na nyota yake jua.
Kama tungekuwa na uwezo wa kutembelea mifumo hiyo basi tungeona mbali lakini kwa mawazo tu mimi naona kuna maisha ya kupendeza huko kuliko ya kwetu hapa kweye nyota yetu kwa maana nyota ni asili ya maisha kwa kwa dunia yetu kwa kuwa nguvu zote zinatoka kwake.
Swali ni je kwanini yasiwezekane huko deep in space kama kwa hapa yamewezekana?
Karibuni tuongeze maarifa