elmatadorkruz
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 195
- 266
Kepler 22B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tafuta hela tu Huu upumbavu wa kisasa utakufanya uzidiwe upumbavuKama solar system ina sayari tisa na jua ndiyo kitovu cha maisha, njoo tuangalie yafuatayo
Tumesoma na kuelewa kuwa jua ni nyota na tukaambiwa tunaona kubwa kwa kuwa iko karibu na nyota tunaziona
ndogo kwa kuwa iko mbali lakini inaweza kuwa kubwa zaidi ya jua letu. Hoja ni kwamba kama ndo iko hivyo basi kuna mifumo mingi ya sayari in the universe kama ilivyo mfumo wa kwetu na pia kuna maisha kama yalivyo kwa sayari yetu ya dunia na nyota yake jua.
Kama tungekuwa na uwezo wa kutembelea mifumo hiyo basi tungeona mbali lakini kwa mawazo tu mimi naona kuna maisha ya kupendeza huko kuliko ya kwetu hapa kweye nyota yetu kwa maana nyota ni asili ya maisha kwa kwa dunia yetu kwa kuwa nguvu zote zinatoka kwake.
Swali ni je kwanini yasiwezekane huko deep in space kama kwa hapa yamewezekana?
Karibuni tuongeze maarifa
Hakuna sayari ila kuna dunia mwezi na nyota, OverBado utafiti unaendelea wanaanga wanajitahidi kadri ya uwezo wao...
Ila sasa mkuu sisi viumbe tuliopo Duniani tunatumia gesi ya Oxygen ili tuishi na tunaambiwa huko kwenye sayari za mbali hakuna hewa hii je, tutaishije?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti Mara 1400Proximity,we are simply closer to it.
Jua ni nyota ya wastani tu, myota kama Betelgeuse nikubwa mara 700 ya jua letu na inang'aa mara 1400.
Nyota kubwa kabisa inayojulikana, UY Scuti ina radius mara karibu 1800 ya ileya jua
List of largest stars - Wikipedia
How Big is the Sun? | Size of the Sun
Jua ndiyo lipokatikati ya solar system. Unaposema "Solar" hiyo Sol ndiyo jua. Katika lugha kama Kireno, jua linaitwa "Sol", ndiyo maana kuna sehemu inaitwa "Costa do Sol" Coast of Sun.
Kwa hiyo, "solar system" ni mfumo wa jua,sayari na vingine vilivyo katikauwanda wa jua.
Mpaka leo kuna sayari 3779 zimekuwa confirmed, hizi ni zile zilizo nje ya mfumo wetu wa jua. Kuna sayari mabilioni huko zinasubiri kuwa discovered.
Kwenye Milky way galaxy kuna nyota takriban 100 billion, kama asilimia moja tu ya hizi zina sayari, hizo ni sayari bilioni moja.
Hiyoniestimate ya chini sana,kwamilky way galaxy ty, kuna galaxies trillion mbili huko kwingine
NASA Exoplanet Archive
Kama 1% ya nyota za Milky way galaxy zina sayari, hizo ni sayari bilioni moja.
Hapa bado uchunguzi zaidi unahitajika.
Hahaa, baaden.
Kuna vipimo vimepima hivyo, si habari ya kusema tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti Mara 1400
Kuna galaxy nyingi tu duniani, kila galaxy ina mkusanyiko wa system kama za solar zaidi ya mabilioni, ila tatizo kufika huko kuna umbali wa light years millions, ndomana hatuwez kufika huko kwa teknolojia yetu ya sasaKama solar system ina sayari tisa na jua ndiyo kitovu cha maisha, njoo tuangalie yafuatayo
Tumesoma na kuelewa kuwa jua ni nyota na tukaambiwa tunaona kubwa kwa kuwa iko karibu na nyota tunaziona
ndogo kwa kuwa iko mbali lakini inaweza kuwa kubwa zaidi ya jua letu. Hoja ni kwamba kama ndo iko hivyo basi kuna mifumo mingi ya sayari in the universe kama ilivyo mfumo wa kwetu na pia kuna maisha kama yalivyo kwa sayari yetu ya dunia na nyota yake jua.
Kama tungekuwa na uwezo wa kutembelea mifumo hiyo basi tungeona mbali lakini kwa mawazo tu mimi naona kuna maisha ya kupendeza huko kuliko ya kwetu hapa kweye nyota yetu kwa maana nyota ni asili ya maisha kwa kwa dunia yetu kwa kuwa nguvu zote zinatoka kwake.
Swali ni je kwanini yasiwezekane huko deep in space kama kwa hapa yamewezekana?
Karibuni tuongeze maarifa
mkuu upo sahh teknolojia now iliyopo dunian ndio haiwez kusuport hat vyomb ambavy vinaez kusafr nakufk huk kwa wakt sahh ambapo kimsing n mamilion ya miakaaa!!! but naamin katik development of technology itafk tu kipnd patafikika tu kwa urahisi!Kuna galaxy nyingi tu duniani, kila galaxy ina mkusanyiko wa system kama za solar zaidi ya mabilioni, ila tatizo kufika huko kuna umbali wa light years millions, ndomana hatuwez kufika huko kwa teknolojia yetu ya sasa
Kuna article moja nimesoma jana hivi kuwa scientist wameweza kufungua kitu kinaitwa quantum gate (teleportation gate) ila kuna marekebisho flani bado wanafanya...ngoja niiche ile linkmkuu upo sahh teknolojia now iliyopo dunian ndio haiwez kusuport hat vyomb ambavy vinaez kusafr nakufk huk kwa wakt sahh ambapo kimsing n mamilion ya miakaaa!!! but naamin katik development of technology itafk tu kipnd patafikika tu kwa urahisi!
em ilet hum tuichek! Elon musk yey anaamin haya maisha tunayoishi tuvyozaliwa kufa n.k kuna viumbe ambavyo wanatucontrol.[emoji1] [emoji1]Kuna article moja nimesoma jana hivi kuwa scientist wameweza kufungua kitu kinaitwa quantum gate (teleportation gate) ila kuna marekebisho flani bado wanafanya...ngoja niiche ile link
Elon Musk ni stupid man ambaye amefanikiwa kupata mkate wake wa kila siku sasa anajiona km level sawa na kina Gates na the late Jobs, ila simkubali wala nini, hana vision, ni engineer tu flaniem ilet hum tuichek! Elon musk yey anaamin haya maisha tunayoishi tuvyozaliwa kufa n.k kuna viumbe ambavyo wanatucontrol.[emoji1] [emoji1]
umejarbu kufatilia project zake, makampun yake na vitu alivyoplan kuafany na total investment aliyofanya! for sure nadhan miaka michache ijayo huy jamaa atafanikiwa san san san san nmejarb kumfatilia vzur hujamaa n futurist mzeeee n nomaElon Musk ni stupid man ambaye amefanikiwa kupata mkate wake wa kila siku sasa anajiona km level sawa na kina Gates na the late Jobs, ila simkubali wala nini, hana vision, ni engineer tu flani
Just an engineer kwangu, vision yake iko kwenye "technology" na automation, future sio automation future ipo kwenye micro device, nano technology, quantum computing. Huko ndo disaster zinapoelekeaumejarbu kufatilia project zake, makampun yake na vitu alivyoplan kuafany na total investment aliyofanya! for sure nadhan miaka michache ijayo huy jamaa atafanikiwa san san san san nmejarb kumfatilia vzur hujamaa n futurist mzeeee n noma