Kuna mkakati Maalum wa Kuzibeba Timu za West Africa

Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi .

Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon na Comoro , ni wazi kwamba kuna Mkakati wa kuzibeba timu za ukanda mmoja , hii ni fedheha kwa Africa .
Aliye nacho huongezewa na asiye nacho hunyang'anywa hata kidogo alichonacho! Hakuna mkakati wowote hapo, ni ufundi na umahiri tu ndiyo vinatamba kwenye gozi la kenge!
 
Aiseee
 
Marefarii wamekuwa wanahadaika kirahisi...
 
Ninaangalia hii game ya Afcon kati ya Cape Verde na Senegal , kiukweli hii red card aliyopewa huyu mchezaji wa Cape Verde siyo Sahihi .

Nikilinganisha na yaliyotokea jana kati ya Wenyeji Cameroon na Comoro , ni wazi kwamba kuna Mkakati wa kuzibeba timu za ukanda mmoja , hii ni fedheha kwa Africa .
GSM hao
 
Back
Top Bottom