Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana.

Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo.

Lahaula si akatuma kweli picha yake ya k.

Nimestaajabu sana kwa kweli.
 
Mke wa Waziri? Umekuwa Baltazar
 
Wote nyinyi ni mazamwamwa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…