Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

Ninakushangaa unavyomshangaa, mi nilidhani picha kaituma kwako kwa kukosea namba!

Hicho ni kuvuli chake (image) tu, je atakavyokuvulia kukukabidhi hiyo 'k' si utatahayari hadi kijiji chote kijue!

Umemtongoza siyo kwa bahati mbaya, ni kwa makusudi maovu kwa kujua kabisa kuwa huyu ni mke wa mtu.

Kakukubali na kukukubalia kila unachokitaka kutoka kwake, sasa ubaya wake kwako ni upi hadi kumleta humu Jf kumdhalilisha, sisi inatuhusu nini mambo yako ya faragha mazee?

Kama siyo utoto basi hii ni chai ya strungi iliyokosa tangawizi.
 
Kwa nini usimtunzie Siri Jamani
 
Ndio ujue usio
Usioe
 
Nitumie niione nitajua cha kukushauri
 
Iko wapi sasa.....

Acha uzushi, modes muwe mnafunga nyuzi zisizo na support evidences/ viambatanisho vya ushahidi
 
Dunia sijui inaenda wapi? maadili nayo Yako wapi? na picha ya utupu nayo sijui Iko wapi ili tukusaidie kusikitika!
 
pamoja na kuwa huyo kurubembe kuwa hajitambui ila wewe naye una tatizo maana umeletewa msosi kulingana na order uliyotoa sasa kipi kinakushangaza?
 
Bila picha ya huo U2PU tutaaminije hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…