Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

Na wewe mtumie utupu wako.
 
Unastaajabu nini na uliiomba mwenyewe
 
Huo n utoto
 
unastaajabu nini? si
ni wewe uliomba picha kakutumia,sasa? dawa yake na wewe saula nguo mtumie mtalimbo
 
Umeomba, halafu baada ya kupewa umestaajabu...!!!! AKILI HIZI..!!
 
Tatizo umri wako
o
 
Hapo na ndoa yako ikiwemo. Maana mkeo hajui unaimbisha wake za watu
 
Kenge hua hasikii kipigo mpaka damu imtoke masikioni....endelea kijana
 

Are you mentally ill?

Umemtongoza ukijua ni mke wa mtu, umekubaliwa, ukaomba mwenyewe utumiwe picha ya utupu, ukatumiwa

Mwisho wa siku ukastaajabu sana! Wtf is wrong with yo brain nigga?³
 
😀Mimi natoa tu angalizo

Kua makini usijekupakwa mafuta mkuu
 
Isenye wala usistaajabu maana hata wao huwa wanaomba waone mizigo yetu kabla hawajaikalia..
 
Acha utoto..
.malizana nae mwenyewe kama mlibyoanzaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…