Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

Na unajua kbsaa mke wa mtuu unamtongoza wa Nini?...why utongoze mke wa mtuu...hapoo ndipo mnapofeli nyiee wanaume oneeni huruma wanaume wenzenuu mke anaumaaa...
 
Huwa anawatumia wengi
 
Vina muda kwani subiri utatamani siku na masaa yaijurudie Bora ungekuwa kipofu
 
Nitumie PM na mimi niione
 
Siku za kupakwa futa haziko mbali shauri yako, nyapu zooote hizi zinazoelea elea kwa nini utake mke wa mtu?
 
Kakutumia bumunda! Lifute haraka, hio ninlaana
 
Utu upo wapi
Utaifa upo wapi
Muungano upo wapi
Uzalendo upo wapi
Maadili yapo wapi
Tamaduni zipo wapi
Serikali ipo wapi

Na Picha Ipo wapi Mkuu!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…