Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo.

Lahaula si akatuma kweli picha yake ya k.
Asingetuma pia ungekuja kulialia hapa hajakutumia. Sijui wavulana wa siku hizi mna shida gani.

Si uliomba mwenyewe, uangalie sasa.

Vinginevyo mrudishie umwambie ulikuwa unamtania tu.

Kwani vipi, ni mzuri au mbaya?
 
Unastaajabu nini sasa wakati ulishamtongoza huku ukijua ni mke wa mtu? Mbona hujistaajabu wewe mwenyewe kuwa mkora? At nimestaajabu sana. Hovyoooo
 
Jamii forum Sasa hivi imejaa watu wa ajabu sana.
Unaomba maji, unapewa afu unashangaa
 
Huyu jamaa ni mpuuzi, umebip na umepigiwa, halafu unakuja kulalamika hapa jukwaani mbona hueleweki?
 
Mtafune
 
Nyie ndio mnasababisha wengine tubaniwe utamu kisa ushamba kama wako wa kuja kutangazia huku mtandaoni kiongozi, kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini kama uhakika wa kupewa tunda hilo ushaupata mzee baba , umefeli sana aisee
 
Mkoa Gani huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…