Tetesi: Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa

Tetesi: Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa

Marehem alipinga nini!?
Hujui mbinu za watawala wewe. Fikiri ktk engo nyingine. Usidhani kuwa gaidi huua wapingaji......

Ujambazi na Gaidi ili apate attention yako, anaweza kuteka na kuua mtoto wako wa miaka mitano tu. Sasa fikiria mwenyewe, Mtoto kama huyu unafikiri atakuwa anapinga nini...?

Waza kwa akili zako kichwani.....

In case kama hujui, Moja ya mbinu kuu ya watawala watetea madaraka yao ya kisiasa huunda magenge ya ujambazi/ugaidi na kuyafadhili kifedha. Jukumu kuu la magenge haya ni kutengeneza hofu (to create fear) miongoni mwa wananchi wanaounga mkono harakati za ukombozi za washindani wao kisiasa kwa kuteka, kutesa na kuua na vitisho vingine....

Kamwe hawalengi wanasiasa wakosoaji wakubwa na maarufu Ili kuepuka kuvuta sauti za jumuiya ya kimataifa....

Kwa hiyo, jamaa zako hawa (magaidi) si wajinga kurudia kumpiga risasi tena Tundu Lissu au Freeman Mbowe kwa sababu kamera na TV za dunia nzima zitaimulika Tanganyika....

Kabla ya kujiuliza swali hili, ulipaswa kuwa na fikra hizi ktk kichwa chako kwanza....!!
 
Hujui mbinu za watawala wewe...

Mbinu Moja kuu ya watawala watetea madaraka yao ya kisiasa ni kutengeneza hofu (they create fear) miongoni mwa wananchi wanaounga mkono harakati za ukombozi za washindani wao kisiasa kwa kuteka, kutesa na kuua....

Kamwe hawalengi wanasiasa wakosoaji wakubwa na maarufu Ili kuepuka kuvuta sauti za jumuiya ya kimataifa....

Kwa hiyo, jamaa zako hawa (magaidi) si wajinga kurudia kumpiga risasi tena Tundu Lissu au Freeman Mbowe kwa sababu kamera na TV za dunia nzima zitaimulika Tanganyika....

Kabla ya kujiuliza swali hili, ulipaswa kuwa na fikra hizi ktk kichwa chako kwanza....!!
Lissu alipigwa risasi,nadharia yako ni upupu mtupu,zaidi ni kulazimisha husika wa mkuu wa dola
 
Lissu alipigwa risasi,nadharia yako ni upupu mtupu,zaidi ni kulazimisha husika wa mkuu wa dola
Unaona ni "upupu" kwa sababu wewe kichwa chako unafugia nywele tu lakini akili ni "zero" kiasi cha kukosa ufahamu binafsi wa kuchakata matukio na mambo yanayokujia au kukuzunguka...

Pole sana..
 
No intent of dealing with this situation.....

Madam President Samia Suluhu Hassan is herself responsible with these torture and killings of her critics....

Kama kweli atafanya hivyo, basi itakuwa ni kuwabadilishia majukumu watu wake Ilibkuwapunguzia lawama walio kwenye Idara zinazo deal na usalama wa wa raia....

Kwa hiyo, she's just trying to control the political damage caused by the incidence hence restoring trust from the public...
You are correct,kwa vile wamezoea kucheza na akili za Watanzania
 
Umedai watawala huwa hawashambulii wapingaji wakubwa bali wadogi Ili kupeleka hofu,lissu mpingaji mkubwa na alishambuliwa..acha umbulula
Jifunze kusikiliza/kusoma maoni ya wenzako na kuyaelewa kabla ya kuandika kujibu...

Kwa ulichokiandika hapa, obvious hukunisoma na kuelewa maandishi contextually...

Ushauri wangu ni huu👇....

Rudi tena ukasome post yangu #23 niliyokukwoti, uelewe vizuri nikichokiandika kisha nirudie tena Ili tujadiliane kama watu wazima wenye uelewa na ufahamu...

By the way, Mimi siyo "mburula" ila wewe ndiye "Mburula" halisi. Jina lako tu inamankusweke (i.e "inama nikusweke") linaakisi fikra zako zinafikiri nini 24 hours 7days...

Usiku mwema dude...
 
Jifunze kusikiliza/kusoma maoni ya wenzako na kuyaelewa kabla ya kuandika kujibu...

Kwa ulichokiandika hapa, obvious hukunisoma na kuelewa maandishi contextually...

Ushauri wangu ni huu👇....

Rudi tena ukasome post yangu #23 niliyokukwoti, uelewe vizuri nikichokiandika kisha nirudie tena Ili tujadiliane kama watu wazima wenye uelewa na ufahamu...

Usiku mwema dude...
Sifanyi huo ujinga,ujumbe wako ulikua dhahiri
 
Back
Top Bottom