Kuna Mkenya amepiga 180 KPH kwenye Nairobi expressway

Kuna Mkenya amepiga 180 KPH kwenye Nairobi expressway

Wacha ujinga. Bongo hamna expressway. Barabara zenu zina bumps. Pia barabara zenu hazina interchange katika kila junction kwa hivyo huwezi kupiga 180 kph katika barabara za Tanzania bila kuhatarisha maisha.
we are used to it, na ukweli ndio huo,kubali, bisha ukweli ndio huo. high speed inahatarisha maisha uwe kwenye express way or whatever
 
Kwa aina hiyo ya barabara mbona kitu cha kawaida sana...
 
Wacha uongo. Bongo kuna barabara gani ambayo unaweza kupiga 180 kph? Kuna barabara gani ambayo haina bumps na ina interchanges katika kila junction? Bongo ukipiga 180 kph unahatarisha maisha.
Kama una gari kama hiyo ya kwenye video ya OP ni kweli huwezi fika 180 bila kuhatarisha maisha 🤣🤣🤣 japo ni usiku mnene na hakuna mtu barabarani
 
Mtanzania mmoja aliyejaribu huo upuuzi wa kupiga 180 kph alikufa kwa ujinga wake. Barabara ambalo ni single-carriageway,lina round-abouts na lina bumps utakuwa zuzu kujaribu kupiga 180 kph pale.

Mbona ni matukio ya kuunganisha.
 
Wacha uongo. Bongo kuna barabara gani ambayo unaweza kupiga 180 kph? Kuna barabara gani ambayo haina bumps na ina interchanges katika kila junction? Bongo ukipiga 180 kph unahatarisha maisha.
Unachekesha
 
Hiyo Bongo mnayoisema nakumbuka usumbufu tuliokua tunapata wa mapolisi kwenye barabara ya Dar-Moro, jamaa wamejificha na vitochi maporini wanakuibukia

tochi.jpg
 
Hiyo Bongo mnayoisema nakumbuka usumbufu tuliokua tunapata wa mapolisi kwenye barabara ya Dar-Moro, jamaa wamejificha na vitochi maporini wanakuibukia

tochi.jpg
Si kwasababu mlikuwa mnakurupuka....kuna maeneo unajiachia tu sasa wewe unataka ukimbie sehemu ina kibao cha maximum speed 50?
 
inakushangaza hiyo?!? hapa bongo kuna watu wana gari za 280km/hr yanazimaliza zote!!!. umemsahau pascal mayala na mpikipiki wake???!!??

Lol. Missing the point kama kawaida.
Is there a road in TZ safe enough for such speeds?

Hao wa 280km/h huenda wanafariki kama yule jamaa wa Mark X.

We also have our own 300km/h idiots in Kenya.
 
Lakini kusema ukweli hio stretch ya korogwe rule inakuanga if in doubt flat out
highway-sky-background-tanzania-203786314.jpg
 
Back
Top Bottom