Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
we are used to it, na ukweli ndio huo,kubali, bisha ukweli ndio huo. high speed inahatarisha maisha uwe kwenye express way or whateverWacha ujinga. Bongo hamna expressway. Barabara zenu zina bumps. Pia barabara zenu hazina interchange katika kila junction kwa hivyo huwezi kupiga 180 kph katika barabara za Tanzania bila kuhatarisha maisha.
yamekuwa mashindano ya gari tena!!!!!Bongo kuna gari inaeza shika hii GTR?View attachment 2244908
Kama una gari kama hiyo ya kwenye video ya OP ni kweli huwezi fika 180 bila kuhatarisha maisha 🤣🤣🤣 japo ni usiku mnene na hakuna mtu barabaraniWacha uongo. Bongo kuna barabara gani ambayo unaweza kupiga 180 kph? Kuna barabara gani ambayo haina bumps na ina interchanges katika kila junction? Bongo ukipiga 180 kph unahatarisha maisha.
Mbona ni matukio ya kuunganisha.Mtanzania mmoja aliyejaribu huo upuuzi wa kupiga 180 kph alikufa kwa ujinga wake. Barabara ambalo ni single-carriageway,lina round-abouts na lina bumps utakuwa zuzu kujaribu kupiga 180 kph pale.
UnachekeshaWacha uongo. Bongo kuna barabara gani ambayo unaweza kupiga 180 kph? Kuna barabara gani ambayo haina bumps na ina interchanges katika kila junction? Bongo ukipiga 180 kph unahatarisha maisha.
Una mioyo miwili mzeeEnzi za ujana wangu.
I think nina miezi sasa sijagusa 180. For real
Si kwasababu mlikuwa mnakurupuka....kuna maeneo unajiachia tu sasa wewe unataka ukimbie sehemu ina kibao cha maximum speed 50?Hiyo Bongo mnayoisema nakumbuka usumbufu tuliokua tunapata wa mapolisi kwenye barabara ya Dar-Moro, jamaa wamejificha na vitochi maporini wanakuibukia
Mbona ni spidi ndogo sana mkuu kwa baadhi ya barabara hapa nchini?Una mioyo miwili mzee
inakushangaza hiyo?!? hapa bongo kuna watu wana gari za 280km/hr yanazimaliza zote!!!. umemsahau pascal mayala na mpikipiki wake???!!??
hahahaaaaaa!!!!!!!Lol. Missing the point kama kawaida.
Is there a road in TZ safe enough for such speeds?
Hao wa 280km/h huenda wanafariki kama yule jamaa wa Mark X.
We also have our own 300km/h idiots in Kenya.
Nikukujulisha tu kuna GTR ya 1500 HP in 254yamekuwa mashindano ya gari tena!!!!!