Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

Sasa kama ni fedha za ndani,kwa nini kila siku tunaambiwa kuwa deni la taifa limeongezeka maradufu?
 
Sasa kama ni fedha za ndani,kwa nini kila siku tunaambiwa kuwa deni la taifa limeongezeka maradufu?
Acha kamba...jana kwa mfano deni la taifa uliambiwa ni sh ngapi?linganisha na juzi!!
 
Ulichoandika Leo kuanzia sasa sitakuita tena JINGA LAO nitakuita LI MIREMBE LAO kwa kuwa unasifa zote za kuishi mirembe hospital mpaka 2020 ingawa wenye mirembe hospital watakukataa kwa kuwa unaitwa jingalao wakati ukichaa umekupanda
 
Huo ni ujinga wa viongozi / wawakilishi wenu!
Kheee.... kwa hiyo vikijengwa vinakuwa vya Magufuli, lakini visipojengwa vinakuwa vya wawakilishi... au umesahau msingi wa swali kwamba utajwe mkoa ambao haujanufaika na mambo ya Magufuli..!? Mkijibiwa mnakwepesha.
 
VIVA JPM VIVA MAGUFULI
 
Kama kigoma imepitiwa sizani kama kuna mkoa umeachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…