Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Heshima kwenu wanabodi.
Muda huu katika kuperuzi peruzi huku mtandaoni nimekutana na sponsored ads kwa kampuni inayoitwa Home contruction. Inasema ina miaka mitano hapa nchini. Ila binafsi ndio nimekutana nayo.
Imetoa nafasi za kazi kwa fani mbali mbali. Kwa nafsi yangu nikasema ngoja nikapply tu(nilifikiri ni bure) na maombi unatuma online kwa form maalumu iliyoko mtandaoni. Nimejaza mwisho nakutana na kwamba natakiwa kulipia 2500/= tsh via mtandao wa simu. Nikaona labda kuna mliofanikiwa mtupe mrejesho. Maana wanadai walishatoa nafasi na kuajiri mara ya kwanza.
Kilichonitia hofu nikaisearch google siipati. Site ya kampuni imekaa kidwanzi. No ya kupokea hela ya form imesajiliwa kwa jina binafsi.
Au ni aina mpya ya upigaji? Maana 2500 kama wakipatikana watu 50000 tu tayari unaongelea mil125+
Link yao hii
homeconstructionltd.blogspot.com

TANGAZO LA KAZI
Home Construction & Company Limited ni kampuni ya ujenzi na imesajiliwa na bodi ya wakandarasi nchini. Kampuni ina uzoefu wa miaka zaidi y...